# Taarifa kwa ujumla BWANA anaongea # Tafuteni mahali salama "iweni wakimbizi" # Pigenji tarumbeta "enyi watu mnaoishi katika mji wa Tekoa jiandaeni kuangamizwa" # Tekoa hili ni jinala mji ulio kilomita 18 kusini mwa Yerusalemu. Maana ya jina ni "pembe la kupuliza" # Simamisheni ishara juu ya Beth-Hakeremu, "Enyi watu mnaoishi katika mji wa Beth-Hakeremu; jiandaeni kuzingirwa" # Beth-Hakeremu Hili nij ina mji ulio kilomita 10kusini mwa Yerusalemu. Jna linamaanisha "mahali pa mizabibu." # ishara "ishara ya kuwaonya watu kuwa kuna inakuja # kwa uovu unaoonekana "kwa kuwa watu wanona kuwa kuna janga linalokuja" # pigo kubwa linakuja "maangamizi makubwa" # Binti za Sayuni, warembo na mwororo "Binti za Syuni ambao ni kama warembo na mwororo" # Binti za Sayuni Tazama 4:30 # wachungaji na kondoo wao watawaendea "Wafame na wanajeshi wataizingira Yerusalemu # zikiwazunguka pande zote "karibu naye pande zote # kila mtu atachunga kwa mkono wake "kila mfalme ataangamiza akiwa na askari wake"