sw_tn/jer/05/30.md

28 lines
520 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kuongea
# Jambo la ajabu la kuchukiza limetokea
"Jambo la kuogofya na la kusikitisha limetokea"
# katika nchi hii
"katika nchi ya Israeli"
# Manabii wanatabiri kwa uongo
"wanatabiri uongo"
# wanatawala kwa masaada wao
"kutokana na uongozi wa manabii"
# lakini mwisho kitatokea nini?
lakini utakuwa katika tabu na majuto kwa sababu ya tabia hii ya uovu itakapoishia kuhukumiwa?"
# mwisho
neno "mwisho" linamaanisha adhabu ambayo ni matokeo ya uovu ambao watu wamefanya"