sw_tn/jer/05/30.md

520 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaendelea kuongea

Jambo la ajabu la kuchukiza limetokea

"Jambo la kuogofya na la kusikitisha limetokea"

katika nchi hii

"katika nchi ya Israeli"

Manabii wanatabiri kwa uongo

"wanatabiri uongo"

wanatawala kwa masaada wao

"kutokana na uongozi wa manabii"

lakini mwisho kitatokea nini?

lakini utakuwa katika tabu na majuto kwa sababu ya tabia hii ya uovu itakapoishia kuhukumiwa?"

mwisho

neno "mwisho" linamaanisha adhabu ambayo ni matokeo ya uovu ambao watu wamefanya"