# Taarifa kwa ujumla BWANA anaendelea kuongea # Jambo la ajabu la kuchukiza limetokea "Jambo la kuogofya na la kusikitisha limetokea" # katika nchi hii "katika nchi ya Israeli" # Manabii wanatabiri kwa uongo "wanatabiri uongo" # wanatawala kwa masaada wao "kutokana na uongozi wa manabii" # lakini mwisho kitatokea nini? lakini utakuwa katika tabu na majuto kwa sababu ya tabia hii ya uovu itakapoishia kuhukumiwa?" # mwisho neno "mwisho" linamaanisha adhabu ambayo ni matokeo ya uovu ambao watu wamefanya"