sw_tn/jer/05/20.md

56 lines
858 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaongea na watu wa Israeli.
# Waambie haya
"sema haya"
# nyumba ya Yakobo
Tazama 1:7
# yasikike katika Yuda
"yatangaze katika Yuda"
# watu wapumbavu! Sanamu hazina matakwa
"watu ambao hawawezi kuelewa"
# zina amaaaacho lakiniahaziwezi kuona.
"mna macho lakini hamwezi kuelewa ninachofanya"
# zina masikio lakiini haziwezi kusikia
"mna nasikio lakiini hamuelewi kile ninachowaelezeni"
# asema BWANA
Tazama 1:7
# Je, hamnihofu mimi
"ni upumbavukwamba hamnihofu...uso
# au kutetemeka mbele ya uso wangu
"kutetemeka kwa hofu kwa sababu yangu"
# Nimeweka mpaka wa mchanga kwenye bahari
"Niliweka mchanga kuwa mpaka wa habari"
# ni agizo la kudumu ambalo halibomoki
"ni ukomo wa kudumu ambao hauwezi kuvukwa"
# kupwa na kujaa
"huinuka juu na kurudi chini"
# hayawezi kuvuka
"hayawezi kufanikiwa kuvuka mpaka"