sw_tn/jer/05/20.md

858 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaongea na watu wa Israeli.

Waambie haya

"sema haya"

nyumba ya Yakobo

Tazama 1:7

yasikike katika Yuda

"yatangaze katika Yuda"

watu wapumbavu! Sanamu hazina matakwa

"watu ambao hawawezi kuelewa"

zina amaaaacho lakiniahaziwezi kuona.

"mna macho lakini hamwezi kuelewa ninachofanya"

zina masikio lakiini haziwezi kusikia

"mna nasikio lakiini hamuelewi kile ninachowaelezeni"

asema BWANA

Tazama 1:7

Je, hamnihofu mimi

"ni upumbavukwamba hamnihofu...uso

au kutetemeka mbele ya uso wangu

"kutetemeka kwa hofu kwa sababu yangu"

Nimeweka mpaka wa mchanga kwenye bahari

"Niliweka mchanga kuwa mpaka wa habari"

ni agizo la kudumu ambalo halibomoki

"ni ukomo wa kudumu ambao hauwezi kuvukwa"

kupwa na kujaa

"huinuka juu na kurudi chini"

hayawezi kuvuka

"hayawezi kufanikiwa kuvuka mpaka"