# Taarifa kwa ujumla BWANA anaongea na watu wa Israeli. # Waambie haya "sema haya" # nyumba ya Yakobo Tazama 1:7 # yasikike katika Yuda "yatangaze katika Yuda" # watu wapumbavu! Sanamu hazina matakwa "watu ambao hawawezi kuelewa" # zina amaaaacho lakiniahaziwezi kuona. "mna macho lakini hamwezi kuelewa ninachofanya" # zina masikio lakiini haziwezi kusikia "mna nasikio lakiini hamuelewi kile ninachowaelezeni" # asema BWANA Tazama 1:7 # Je, hamnihofu mimi "ni upumbavukwamba hamnihofu...uso # au kutetemeka mbele ya uso wangu "kutetemeka kwa hofu kwa sababu yangu" # Nimeweka mpaka wa mchanga kwenye bahari "Niliweka mchanga kuwa mpaka wa habari" # ni agizo la kudumu ambalo halibomoki "ni ukomo wa kudumu ambao hauwezi kuvukwa" # kupwa na kujaa "huinuka juu na kurudi chini" # hayawezi kuvuka "hayawezi kufanikiwa kuvuka mpaka"