sw_tn/jer/05/16.md

541 B

Podo lao ni kaburi wazi

"Taifa hili litatumia mshale kuuwa watu wengi sana"

Podo lao

neno "lao" inawakilisha taifa ambalo BWANA atalileta kuwangamiza Waisraeli.

podo

"chombo cha kuwekea mishale"

kwa hiyo mavuno yako yataliwa

"Kwa hiyo jedshi la taifa hlo litakula kile mnachotegemea kuvuna"

Watakula

kiwakilishi cha "wa" kinamaanisha jeshi la taifa lile.

Waiangusha chini kwa upanga miji yenu na boma zake

Watatumia silaha zao kuingamiza miji yenu"

ambazo mnazitumainia

"ambazo mnadani kuwa ziko imara kuwalinda"