# Podo lao ni kaburi wazi "Taifa hili litatumia mshale kuuwa watu wengi sana" # Podo lao neno "lao" inawakilisha taifa ambalo BWANA atalileta kuwangamiza Waisraeli. # podo "chombo cha kuwekea mishale" # kwa hiyo mavuno yako yataliwa "Kwa hiyo jedshi la taifa hlo litakula kile mnachotegemea kuvuna" # Watakula kiwakilishi cha "wa" kinamaanisha jeshi la taifa lile. # Waiangusha chini kwa upanga miji yenu na boma zake Watatumia silaha zao kuingamiza miji yenu" # ambazo mnazitumainia "ambazo mnadani kuwa ziko imara kuwalinda"