sw_tn/jer/05/16.md

28 lines
541 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Podo lao ni kaburi wazi
"Taifa hili litatumia mshale kuuwa watu wengi sana"
# Podo lao
neno "lao" inawakilisha taifa ambalo BWANA atalileta kuwangamiza Waisraeli.
# podo
"chombo cha kuwekea mishale"
# kwa hiyo mavuno yako yataliwa
"Kwa hiyo jedshi la taifa hlo litakula kile mnachotegemea kuvuna"
# Watakula
kiwakilishi cha "wa" kinamaanisha jeshi la taifa lile.
# Waiangusha chini kwa upanga miji yenu na boma zake
Watatumia silaha zao kuingamiza miji yenu"
# ambazo mnazitumainia
"ambazo mnadani kuwa ziko imara kuwalinda"