sw_tn/jer/05/14.md

44 lines
739 B
Markdown

# Kwa sababu ume
Kiwakilshi cha "u" kinawakilisha watu wa Israeli
# asema hivi
Tazama 5:10
# tazama
"Sikiliza"
# nataka kuweka maneno yangu kwenye kinywa chako.. Yatakuwa kama moto
"Nataka kutengeneza maneno amabyo wewe utayasema kwa kwa niaba yangu kwa moto"
# katiak kinywa cahcako
kiwakilishi cha "chako" kinamaanisha Yeremia."wewe uyaseme"
# watu hawa
watu wa Israeli
# kwa kuwa utawaramba
Kwa sababu utawaharibu watu wa Israeli utakaposema maneno yangu."
# dhidi yenu
"kuwashambulia ninyi"
# nyumba ya Israeli
Tazama 2:4
# ni taifa linalodumu, ni taifa la kale!
ni taifa la miaka mingi na lenye kuvumilia
# ni taifa ambalo lugha yake hamuijui, wala hamutaelewa wasemacho
"Ni taifa ambalo lugha yake hamutielewa."