# Kwa sababu ume Kiwakilshi cha "u" kinawakilisha watu wa Israeli # asema hivi Tazama 5:10 # tazama "Sikiliza" # nataka kuweka maneno yangu kwenye kinywa chako.. Yatakuwa kama moto "Nataka kutengeneza maneno amabyo wewe utayasema kwa kwa niaba yangu kwa moto" # katiak kinywa cahcako kiwakilishi cha "chako" kinamaanisha Yeremia."wewe uyaseme" # watu hawa watu wa Israeli # kwa kuwa utawaramba Kwa sababu utawaharibu watu wa Israeli utakaposema maneno yangu." # dhidi yenu "kuwashambulia ninyi" # nyumba ya Israeli Tazama 2:4 # ni taifa linalodumu, ni taifa la kale! ni taifa la miaka mingi na lenye kuvumilia # ni taifa ambalo lugha yake hamuijui, wala hamutaelewa wasemacho "Ni taifa ambalo lugha yake hamutielewa."