sw_tn/jer/05/14.md

739 B

Kwa sababu ume

Kiwakilshi cha "u" kinawakilisha watu wa Israeli

asema hivi

Tazama 5:10

tazama

"Sikiliza"

nataka kuweka maneno yangu kwenye kinywa chako.. Yatakuwa kama moto

"Nataka kutengeneza maneno amabyo wewe utayasema kwa kwa niaba yangu kwa moto"

katiak kinywa cahcako

kiwakilishi cha "chako" kinamaanisha Yeremia."wewe uyaseme"

watu hawa

watu wa Israeli

kwa kuwa utawaramba

Kwa sababu utawaharibu watu wa Israeli utakaposema maneno yangu."

dhidi yenu

"kuwashambulia ninyi"

nyumba ya Israeli

Tazama 2:4

ni taifa linalodumu, ni taifa la kale!

ni taifa la miaka mingi na lenye kuvumilia

ni taifa ambalo lugha yake hamuijui, wala hamutaelewa wasemacho

"Ni taifa ambalo lugha yake hamutielewa."