sw_tn/jer/05/04.md

32 lines
554 B
Markdown

# Kwa hiyo nilisema
"Yeremia anaongea
# Lakini wote wanvunja nira yao pamoja; wote wanaivunja ile minyororo inayowafunga kwa ajili ya Mungu.
Nira na minyororo inawakilisha sheria inamfunga mtu na Mungu wake.
# Kwa hiyo simba ... mbweha ... chui ..
maana yake yaweza kuwa 1) "Wanyama wa mwituni wakuja na kuwaua watu" au 2) "jeshi la adui litkuja na kuwaua watu"
# kichaka
ni miti mingi ambayo imekwa kwa pamoja na iko karibu
# mbweha
"mbwa mwitu"
# anawasubri
anasubiria
# chui
mnyama wa mwitu mkali
# hayana ukomo
yasiyoweza kuhesabika