sw_tn/jer/05/04.md

554 B

Kwa hiyo nilisema

"Yeremia anaongea

Lakini wote wanvunja nira yao pamoja; wote wanaivunja ile minyororo inayowafunga kwa ajili ya Mungu.

Nira na minyororo inawakilisha sheria inamfunga mtu na Mungu wake.

Kwa hiyo simba ... mbweha ... chui ..

maana yake yaweza kuwa 1) "Wanyama wa mwituni wakuja na kuwaua watu" au 2) "jeshi la adui litkuja na kuwaua watu"

kichaka

ni miti mingi ambayo imekwa kwa pamoja na iko karibu

mbweha

"mbwa mwitu"

anawasubri

anasubiria

chui

mnyama wa mwitu mkali

hayana ukomo

yasiyoweza kuhesabika