# Kwa hiyo nilisema "Yeremia anaongea # Lakini wote wanvunja nira yao pamoja; wote wanaivunja ile minyororo inayowafunga kwa ajili ya Mungu. Nira na minyororo inawakilisha sheria inamfunga mtu na Mungu wake. # Kwa hiyo simba ... mbweha ... chui .. maana yake yaweza kuwa 1) "Wanyama wa mwituni wakuja na kuwaua watu" au 2) "jeshi la adui litkuja na kuwaua watu" # kichaka ni miti mingi ambayo imekwa kwa pamoja na iko karibu # mbweha "mbwa mwitu" # anawasubri anasubiria # chui mnyama wa mwitu mkali # hayana ukomo yasiyoweza kuhesabika