sw_tn/jer/05/01.md

736 B

Taarifa kwa ujumla

Yeremia anawaambia atu wa Yerusalemu.

Kimbieini mkapite

"Fanyeni haraka"

kama mtaweza kumpata

"tazameni mkatafute"

viwanja vayke

eneo wazi kubwa ambapo watu hukusanyika

kama mtaweza kumpata hata mtu mmoja

"kama mtapata hata mtu mmoja"

anayetenda kwa haki

"anayefanya kile kilicho sahihi"

hata kama wana

Kiwakiishi "wa" kinawakilisha watu wa Yerusalemu

Kama BWANA aishivyo

Tazama 4:1

macho yako hayatazami uaminifu

"unataka watu wawe waaminifu"

unawapia watu, lakini hawasikii maumivu

"unawaadhibu watu lakini bado, hawasikii"

umewaangamiza kabisa

"umewateketeza kabisa"

kuwa waadilifu

"kujifunza"

Wanafanya nyuso zao kuwa ngumu kama mwamba

"wanakuwa wasumbufu sana"