sw_tn/jer/05/01.md

52 lines
736 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Yeremia anawaambia atu wa Yerusalemu.
# Kimbieini mkapite
"Fanyeni haraka"
# kama mtaweza kumpata
"tazameni mkatafute"
# viwanja vayke
eneo wazi kubwa ambapo watu hukusanyika
# kama mtaweza kumpata hata mtu mmoja
"kama mtapata hata mtu mmoja"
# anayetenda kwa haki
"anayefanya kile kilicho sahihi"
# hata kama wana
Kiwakiishi "wa" kinawakilisha watu wa Yerusalemu
# Kama BWANA aishivyo
Tazama 4:1
# macho yako hayatazami uaminifu
"unataka watu wawe waaminifu"
# unawapia watu, lakini hawasikii maumivu
"unawaadhibu watu lakini bado, hawasikii"
# umewaangamiza kabisa
"umewateketeza kabisa"
# kuwa waadilifu
"kujifunza"
# Wanafanya nyuso zao kuwa ngumu kama mwamba
"wanakuwa wasumbufu sana"