# Taarifa kwa ujumla Yeremia anawaambia atu wa Yerusalemu. # Kimbieini mkapite "Fanyeni haraka" # kama mtaweza kumpata "tazameni mkatafute" # viwanja vayke eneo wazi kubwa ambapo watu hukusanyika # kama mtaweza kumpata hata mtu mmoja "kama mtapata hata mtu mmoja" # anayetenda kwa haki "anayefanya kile kilicho sahihi" # hata kama wana Kiwakiishi "wa" kinawakilisha watu wa Yerusalemu # Kama BWANA aishivyo Tazama 4:1 # macho yako hayatazami uaminifu "unataka watu wawe waaminifu" # unawapia watu, lakini hawasikii maumivu "unawaadhibu watu lakini bado, hawasikii" # umewaangamiza kabisa "umewateketeza kabisa" # kuwa waadilifu "kujifunza" # Wanafanya nyuso zao kuwa ngumu kama mwamba "wanakuwa wasumbufu sana"