sw_tn/jer/04/30.md

511 B

unavaa mavazi mekundu ...mapambo ... macho ... ya maumivu

"unavaa kama kahaba"

mapambo

"kujipamba" au "kuongeza vitu vinavyomfanya mtu avutie au aonekane wa gaharam zaidi"

wanaume waliokutamani sasa wanakukataa

Hii inasisitiza kuwa mataifa mengine ambayo Israeli alwataegemea kwa utajiri na biashara sasa watamkataa watakapaoiona hukumu ya Mungu.

Utungu kama wa mwanamke

"huzuni na utungu kama wa mwanamke anoupata wakati wa kujifungua"

Atwetaye

"uhai wangu umechanika kwa sababu ya huzuni"