sw_tn/jer/04/30.md

20 lines
511 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# unavaa mavazi mekundu ...mapambo ... macho ... ya maumivu
"unavaa kama kahaba"
# mapambo
"kujipamba" au "kuongeza vitu vinavyomfanya mtu avutie au aonekane wa gaharam zaidi"
# wanaume waliokutamani sasa wanakukataa
Hii inasisitiza kuwa mataifa mengine ambayo Israeli alwataegemea kwa utajiri na biashara sasa watamkataa watakapaoiona hukumu ya Mungu.
# Utungu kama wa mwanamke
"huzuni na utungu kama wa mwanamke anoupata wakati wa kujifungua"
# Atwetaye
"uhai wangu umechanika kwa sababu ya huzuni"