# unavaa mavazi mekundu ...mapambo ... macho ... ya maumivu "unavaa kama kahaba" # mapambo "kujipamba" au "kuongeza vitu vinavyomfanya mtu avutie au aonekane wa gaharam zaidi" # wanaume waliokutamani sasa wanakukataa Hii inasisitiza kuwa mataifa mengine ambayo Israeli alwataegemea kwa utajiri na biashara sasa watamkataa watakapaoiona hukumu ya Mungu. # Utungu kama wa mwanamke "huzuni na utungu kama wa mwanamke anoupata wakati wa kujifungua" # Atwetaye "uhai wangu umechanika kwa sababu ya huzuni"