sw_tn/jer/04/27.md

370 B

nchi itaomboleza, na mbingu kule juu itatiwa giza

Yeremia anasisitiza hukumu ya BWANA kwa kusema kuwa dunia yote pia inaonyesha huzuni yake.

Kila mji utakimbia ... kila mji utapanda

Huu ni msisitizokuwa watu wote watakuwa wakikimbia.

Miji itatelekezwa, kwa kuwa hakutakuwa na mtu wa kuishi katika miji hiyo

"hakutakuwa na mtu atakayebakizwa katika hiyo miji"