# nchi itaomboleza, na mbingu kule juu itatiwa giza Yeremia anasisitiza hukumu ya BWANA kwa kusema kuwa dunia yote pia inaonyesha huzuni yake. # Kila mji utakimbia ... kila mji utapanda Huu ni msisitizokuwa watu wote watakuwa wakikimbia. # Miji itatelekezwa, kwa kuwa hakutakuwa na mtu wa kuishi katika miji hiyo "hakutakuwa na mtu atakayebakizwa katika hiyo miji"