sw_tn/jer/04/27.md

12 lines
370 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nchi itaomboleza, na mbingu kule juu itatiwa giza
Yeremia anasisitiza hukumu ya BWANA kwa kusema kuwa dunia yote pia inaonyesha huzuni yake.
# Kila mji utakimbia ... kila mji utapanda
Huu ni msisitizokuwa watu wote watakuwa wakikimbia.
# Miji itatelekezwa, kwa kuwa hakutakuwa na mtu wa kuishi katika miji hiyo
"hakutakuwa na mtu atakayebakizwa katika hiyo miji"