sw_tn/jer/04/19.md

498 B

Moyo wagu! moyo wangu! Niko katika maumivu ya moyo. Moyo wangu umefadhaika ndani yangu.

"Niko katika maumivu makali, Nimezidiwa"

misukosuko

kuchanganyikiwa

Anguko baada ya anguko limetangazwa

"watu wanaambizana kutoka mji mmojahadi mwingine kuwa wameharibiwa"

nchi yote imeharibiwa mara

"adaui wameiharibu nchi"

masikani yangu na hema yangu

neno "maskani" na "hema" yanamaanisha kitu kimoja. Maana yake yaweza kuwa "hema yangu na mapazia yaliyo ndani yake" au "mahali niishipo"