sw_tn/jer/04/19.md

20 lines
498 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Moyo wagu! moyo wangu! Niko katika maumivu ya moyo. Moyo wangu umefadhaika ndani yangu.
"Niko katika maumivu makali, Nimezidiwa"
# misukosuko
kuchanganyikiwa
# Anguko baada ya anguko limetangazwa
"watu wanaambizana kutoka mji mmojahadi mwingine kuwa wameharibiwa"
# nchi yote imeharibiwa mara
"adaui wameiharibu nchi"
# masikani yangu na hema yangu
neno "maskani" na "hema" yanamaanisha kitu kimoja. Maana yake yaweza kuwa "hema yangu na mapazia yaliyo ndani yake" au "mahali niishipo"