# Moyo wagu! moyo wangu! Niko katika maumivu ya moyo. Moyo wangu umefadhaika ndani yangu. "Niko katika maumivu makali, Nimezidiwa" # misukosuko kuchanganyikiwa # Anguko baada ya anguko limetangazwa "watu wanaambizana kutoka mji mmojahadi mwingine kuwa wameharibiwa" # nchi yote imeharibiwa mara "adaui wameiharibu nchi" # masikani yangu na hema yangu neno "maskani" na "hema" yanamaanisha kitu kimoja. Maana yake yaweza kuwa "hema yangu na mapazia yaliyo ndani yake" au "mahali niishipo"