sw_tn/jer/04/13.md

532 B

Tazama anavamia kama wingu, na magari yake ni kama dhoruba

"jeshi la adui ni haribifu kama upepo mkali"

Ole wetu kwa kuwa tutaharibiwa

"Watu wanasema, 'kwa hakika tutaangamizwa.'"

Itakaseni mioyo yenu kutoka uovu wenu

BWANA anawaambia watu waishio Yerusalemu, '"Bora mbadilishe tabia zenu."

kuna sauti iletayo

"wajumbe wanahubiri"

na janga lijalo linasikikka

"watu walilisikia hilo janga"

kutokea Dani ... milima ya Efraimu

watu walitambua kuwa wale watu waliokuwa wakitangaza onyo hili walikuwa wanakaribia