# Tazama anavamia kama wingu, na magari yake ni kama dhoruba "jeshi la adui ni haribifu kama upepo mkali" # Ole wetu kwa kuwa tutaharibiwa "Watu wanasema, 'kwa hakika tutaangamizwa.'" # Itakaseni mioyo yenu kutoka uovu wenu BWANA anawaambia watu waishio Yerusalemu, '"Bora mbadilishe tabia zenu." # kuna sauti iletayo "wajumbe wanahubiri" # na janga lijalo linasikikka "watu walilisikia hilo janga" # kutokea Dani ... milima ya Efraimu watu walitambua kuwa wale watu waliokuwa wakitangaza onyo hili walikuwa wanakaribia