sw_tn/jer/04/13.md

24 lines
532 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Tazama anavamia kama wingu, na magari yake ni kama dhoruba
"jeshi la adui ni haribifu kama upepo mkali"
# Ole wetu kwa kuwa tutaharibiwa
"Watu wanasema, 'kwa hakika tutaangamizwa.'"
# Itakaseni mioyo yenu kutoka uovu wenu
BWANA anawaambia watu waishio Yerusalemu, '"Bora mbadilishe tabia zenu."
# kuna sauti iletayo
"wajumbe wanahubiri"
# na janga lijalo linasikikka
"watu walilisikia hilo janga"
# kutokea Dani ... milima ya Efraimu
watu walitambua kuwa wale watu waliokuwa wakitangaza onyo hili walikuwa wanakaribia