sw_tn/jer/04/04.md

489 B

Mtahiriwe kwa BWANA nakuondoa goviza mioyo yenu

"Mjitoa kikamilifu kwa BWANA"

Mtahiriwe kwa BWANA

"Tahiriweni kwa BWANA"

hasira yangu itawaka kama moto

"vitu ambavyo nafanya kwa sababu nina hasira vitakuwa kama moto

Waambie Yuda na Yerusalemu isikie

"wafanye watu wa Yerusalemu wasikie"

na Yerusalemu isikie

"ifanye Yerusalaemu isikie"

majanga ... angukokubwa

"anguko kubwa" inaeleza jinsi janga litakavyokuwa

kutokea kaskazini

jeshi la adui litatokea kaskazini