# Mtahiriwe kwa BWANA nakuondoa goviza mioyo yenu "Mjitoa kikamilifu kwa BWANA" # Mtahiriwe kwa BWANA "Tahiriweni kwa BWANA" # hasira yangu itawaka kama moto "vitu ambavyo nafanya kwa sababu nina hasira vitakuwa kama moto # Waambie Yuda na Yerusalemu isikie "wafanye watu wa Yerusalemu wasikie" # na Yerusalemu isikie "ifanye Yerusalaemu isikie" # majanga ... angukokubwa "anguko kubwa" inaeleza jinsi janga litakavyokuwa # kutokea kaskazini jeshi la adui litatokea kaskazini