sw_tn/jer/04/04.md

28 lines
489 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mtahiriwe kwa BWANA nakuondoa goviza mioyo yenu
"Mjitoa kikamilifu kwa BWANA"
# Mtahiriwe kwa BWANA
"Tahiriweni kwa BWANA"
# hasira yangu itawaka kama moto
"vitu ambavyo nafanya kwa sababu nina hasira vitakuwa kama moto
# Waambie Yuda na Yerusalemu isikie
"wafanye watu wa Yerusalemu wasikie"
# na Yerusalemu isikie
"ifanye Yerusalaemu isikie"
# majanga ... angukokubwa
"anguko kubwa" inaeleza jinsi janga litakavyokuwa
# kutokea kaskazini
jeshi la adui litatokea kaskazini