sw_tn/jer/03/01.md

36 lines
635 B
Markdown

# Taarif kwa ujumla
BWANA bado anaendelea kuongea kama ilivyokuwa kwenye sura 2
# Je, huyo si najisi kabisa
"Ni najisi kabisa"
# Huyo mwanamke ndiyo hii nchi
Nchi hii ni kama huyo mwanamke
# Mmetenda kama kahaba
Mmetoa upendo wenu kwa sanamu ka vile kahaba atoavyo mwili wake kwa mwanamume ambaye si mume wake"
# na sasa mnataka kurudi kwangu tena
"Sitawapokea tena kama mtajaribu kurudi tena kwangu."
# Asema BWANA
Tazama 1:7
# inua macho yako
"Tazama juu"
# Je, kuna mahali ambapo hukufanya ukahaba?
"Wewe ni kama mwanamke ambaye huenda kila mahali na wanaume humkamata na kulala naye
# Mwarabu
gege la wanyang'anyi