# Taarif kwa ujumla BWANA bado anaendelea kuongea kama ilivyokuwa kwenye sura 2 # Je, huyo si najisi kabisa "Ni najisi kabisa" # Huyo mwanamke ndiyo hii nchi Nchi hii ni kama huyo mwanamke # Mmetenda kama kahaba Mmetoa upendo wenu kwa sanamu ka vile kahaba atoavyo mwili wake kwa mwanamume ambaye si mume wake" # na sasa mnataka kurudi kwangu tena "Sitawapokea tena kama mtajaribu kurudi tena kwangu." # Asema BWANA Tazama 1:7 # inua macho yako "Tazama juu" # Je, kuna mahali ambapo hukufanya ukahaba? "Wewe ni kama mwanamke ambaye huenda kila mahali na wanaume humkamata na kulala naye # Mwarabu gege la wanyang'anyi