sw_tn/jer/03/01.md

635 B

Taarif kwa ujumla

BWANA bado anaendelea kuongea kama ilivyokuwa kwenye sura 2

Je, huyo si najisi kabisa

"Ni najisi kabisa"

Huyo mwanamke ndiyo hii nchi

Nchi hii ni kama huyo mwanamke

Mmetenda kama kahaba

Mmetoa upendo wenu kwa sanamu ka vile kahaba atoavyo mwili wake kwa mwanamume ambaye si mume wake"

na sasa mnataka kurudi kwangu tena

"Sitawapokea tena kama mtajaribu kurudi tena kwangu."

Asema BWANA

Tazama 1:7

inua macho yako

"Tazama juu"

Je, kuna mahali ambapo hukufanya ukahaba?

"Wewe ni kama mwanamke ambaye huenda kila mahali na wanaume humkamata na kulala naye

Mwarabu

gege la wanyang'anyi