sw_tn/jer/02/29.md

20 lines
660 B
Markdown

# Kwa nini kunituhumu kwa kufanya makosa? Ninyi nyote mmeniasi
"Ninyi Israeli mnadai kuwa mimi nilikosea pale niliposhindwa kuwaokoa mliponiita, hata kama mnaendelea kunitenda dhambi."
# umewaangamiza
"uko tayari kuleta maangamizi makubwa"
# Enyi watu wa kizazi hiki! Sikilizeni neno langu, neno la BWANA
"Enyi nyumba ya Yuda, silikizeni neno ninalowaambia."
# Je, nimekuwa jangwa kwa Israeli? Au nchi yenye giza nene?
"Sikuwatelekeza jangwani wala kuwaacha kwenye nchi yenye giza nene"
# Kwa nini watu wanguhusema, 'Acha tuzungukezunguke hatutakuja kwako tena'?
"Kwa niin masema, "Tunaweza kwenda kule tutakako kwenda na wala kumwabudu BWANA tena.'