sw_tn/jer/02/29.md

660 B

Kwa nini kunituhumu kwa kufanya makosa? Ninyi nyote mmeniasi

"Ninyi Israeli mnadai kuwa mimi nilikosea pale niliposhindwa kuwaokoa mliponiita, hata kama mnaendelea kunitenda dhambi."

umewaangamiza

"uko tayari kuleta maangamizi makubwa"

Enyi watu wa kizazi hiki! Sikilizeni neno langu, neno la BWANA

"Enyi nyumba ya Yuda, silikizeni neno ninalowaambia."

Je, nimekuwa jangwa kwa Israeli? Au nchi yenye giza nene?

"Sikuwatelekeza jangwani wala kuwaacha kwenye nchi yenye giza nene"

Kwa nini watu wanguhusema, 'Acha tuzungukezunguke hatutakuja kwako tena'?

"Kwa niin masema, "Tunaweza kwenda kule tutakako kwenda na wala kumwabudu BWANA tena.'