# Kwa nini kunituhumu kwa kufanya makosa? Ninyi nyote mmeniasi "Ninyi Israeli mnadai kuwa mimi nilikosea pale niliposhindwa kuwaokoa mliponiita, hata kama mnaendelea kunitenda dhambi." # umewaangamiza "uko tayari kuleta maangamizi makubwa" # Enyi watu wa kizazi hiki! Sikilizeni neno langu, neno la BWANA "Enyi nyumba ya Yuda, silikizeni neno ninalowaambia." # Je, nimekuwa jangwa kwa Israeli? Au nchi yenye giza nene? "Sikuwatelekeza jangwani wala kuwaacha kwenye nchi yenye giza nene" # Kwa nini watu wanguhusema, 'Acha tuzungukezunguke hatutakuja kwako tena'? "Kwa niin masema, "Tunaweza kwenda kule tutakako kwenda na wala kumwabudu BWANA tena.'