sw_tn/jer/02/26.md

20 lines
453 B
Markdown

# anapokuwa amekamatwa
"anapokamatwa"
# wao
"watu"
# hawa ndiowale waiambiayo miti, ninyi ndi baba zangu; na mawe, 'ninyi ndio mlionizaa,'
"hawa ndio watu wanaoimbia miti iliyochongwa, "ninyi ndio baba zangu," na mawe yaliyochongwa, :ninyi ndio mlionizaa." "
# kwa kuwa migongo yao hunitazama na siyo nyuso zao
"hugeuka na hawaniabudu" au "hugeuka na kwa hiyo mimi huona migongo yao tu, wala si nyuso zao."
# Amka utuokoe
"BWANA njoo utuokoe."