sw_tn/jer/02/26.md

453 B

anapokuwa amekamatwa

"anapokamatwa"

wao

"watu"

hawa ndiowale waiambiayo miti, ninyi ndi baba zangu; na mawe, 'ninyi ndio mlionizaa,'

"hawa ndio watu wanaoimbia miti iliyochongwa, "ninyi ndio baba zangu," na mawe yaliyochongwa, :ninyi ndio mlionizaa." "

kwa kuwa migongo yao hunitazama na siyo nyuso zao

"hugeuka na hawaniabudu" au "hugeuka na kwa hiyo mimi huona migongo yao tu, wala si nyuso zao."

Amka utuokoe

"BWANA njoo utuokoe."