# anapokuwa amekamatwa "anapokamatwa" # wao "watu" # hawa ndiowale waiambiayo miti, ninyi ndi baba zangu; na mawe, 'ninyi ndio mlionizaa,' "hawa ndio watu wanaoimbia miti iliyochongwa, "ninyi ndio baba zangu," na mawe yaliyochongwa, :ninyi ndio mlionizaa." " # kwa kuwa migongo yao hunitazama na siyo nyuso zao "hugeuka na hawaniabudu" au "hugeuka na kwa hiyo mimi huona migongo yao tu, wala si nyuso zao." # Amka utuokoe "BWANA njoo utuokoe."