sw_tn/jer/02/14.md

32 lines
905 B
Markdown

# Je, Israeli ni mtumwa? kwani hakuzaliwa nyumbani? kwa nini sasa amekuwa nyara?
"Ninyi watu wa Israeli hamkuzaliwa watumwa; lakini sasa mmetekwa nyara na aduoi zenu."
# kwa nini sasa amekuwa nyara?
"Kila kitu mlichomiliki kimechukuliwa kwa nguvu"
# Wana simba wameunguruma zdhidi yake ... na kubaki bila watu
"Adui zenu wamewavamia wakiunguruma kama simba. Wameharibu nchi yenu na kuichoma miji yenu. ili kwamba hakuna awezaye kuishi ndani yake"
# Wanasimba wameunguruma
"Muungurumo ni sauti kali inayofanywa na wanyama wa wakali"
# wakazi
watu wanoishi katika eneo fulani
# Nufu na Tahapanesi
Ni miji ya Misri
# Watakinyoa kichwa chako
"watafanya kichwa chako kiwe na nyufa"
# Je, hamkufanya haya kwa ajili yenu mlipomwacha BWANA Mungu, wakati Mungu wenu alipokuwa akiwaongoza njiani?
"Mmeyasababisha haya ninyi wenyewe kwa kumwacha BWANA Mungu wenu wakati alipokuwa akiwaongoza njiani."