sw_tn/jer/02/14.md

905 B

Je, Israeli ni mtumwa? kwani hakuzaliwa nyumbani? kwa nini sasa amekuwa nyara?

"Ninyi watu wa Israeli hamkuzaliwa watumwa; lakini sasa mmetekwa nyara na aduoi zenu."

kwa nini sasa amekuwa nyara?

"Kila kitu mlichomiliki kimechukuliwa kwa nguvu"

Wana simba wameunguruma zdhidi yake ... na kubaki bila watu

"Adui zenu wamewavamia wakiunguruma kama simba. Wameharibu nchi yenu na kuichoma miji yenu. ili kwamba hakuna awezaye kuishi ndani yake"

Wanasimba wameunguruma

"Muungurumo ni sauti kali inayofanywa na wanyama wa wakali"

wakazi

watu wanoishi katika eneo fulani

Nufu na Tahapanesi

Ni miji ya Misri

Watakinyoa kichwa chako

"watafanya kichwa chako kiwe na nyufa"

Je, hamkufanya haya kwa ajili yenu mlipomwacha BWANA Mungu, wakati Mungu wenu alipokuwa akiwaongoza njiani?

"Mmeyasababisha haya ninyi wenyewe kwa kumwacha BWANA Mungu wenu wakati alipokuwa akiwaongoza njiani."