# Je, Israeli ni mtumwa? kwani hakuzaliwa nyumbani? kwa nini sasa amekuwa nyara? "Ninyi watu wa Israeli hamkuzaliwa watumwa; lakini sasa mmetekwa nyara na aduoi zenu." # kwa nini sasa amekuwa nyara? "Kila kitu mlichomiliki kimechukuliwa kwa nguvu" # Wana simba wameunguruma zdhidi yake ... na kubaki bila watu "Adui zenu wamewavamia wakiunguruma kama simba. Wameharibu nchi yenu na kuichoma miji yenu. ili kwamba hakuna awezaye kuishi ndani yake" # Wanasimba wameunguruma "Muungurumo ni sauti kali inayofanywa na wanyama wa wakali" # wakazi watu wanoishi katika eneo fulani # Nufu na Tahapanesi Ni miji ya Misri # Watakinyoa kichwa chako "watafanya kichwa chako kiwe na nyufa" # Je, hamkufanya haya kwa ajili yenu mlipomwacha BWANA Mungu, wakati Mungu wenu alipokuwa akiwaongoza njiani? "Mmeyasababisha haya ninyi wenyewe kwa kumwacha BWANA Mungu wenu wakati alipokuwa akiwaongoza njiani."