sw_tn/jer/02/07.md

28 lines
559 B
Markdown

# Lakini mlipokuja, mliitia unajisi nchi yangu, mlifanya urithi wangu kuwa chukizo!
Kule mlifanya dhambi na kuichafua nchi nilyowapa!"
# Hata makuhani hawakusema . 'BWANA yuko wapi?' na watalaamu wa sheria hawakunijali mimi!
"Makuhani na viongozi wengine wa dini hawakutaka kunifahamu."
# BWANA yuko wapi?
"Tunahitaji kumtii BWANA"
# Wachungaji wametenda dhambi dhidi yangu
"Viongozi wao wamenitenda dhambi"
# wachungaji
"viongozi"
# na kuvitafuta vitu ambavyo havina faida
"na kuomba kwa miungu ambayo haiwezi kuwasaidia"
# kuvitafauta
"kuitii"