# Lakini mlipokuja, mliitia unajisi nchi yangu, mlifanya urithi wangu kuwa chukizo! Kule mlifanya dhambi na kuichafua nchi nilyowapa!" # Hata makuhani hawakusema . 'BWANA yuko wapi?' na watalaamu wa sheria hawakunijali mimi! "Makuhani na viongozi wengine wa dini hawakutaka kunifahamu." # BWANA yuko wapi? "Tunahitaji kumtii BWANA" # Wachungaji wametenda dhambi dhidi yangu "Viongozi wao wamenitenda dhambi" # wachungaji "viongozi" # na kuvitafuta vitu ambavyo havina faida "na kuomba kwa miungu ambayo haiwezi kuwasaidia" # kuvitafauta "kuitii"