sw_tn/jer/02/07.md

559 B

Lakini mlipokuja, mliitia unajisi nchi yangu, mlifanya urithi wangu kuwa chukizo!

Kule mlifanya dhambi na kuichafua nchi nilyowapa!"

Hata makuhani hawakusema . 'BWANA yuko wapi?' na watalaamu wa sheria hawakunijali mimi!

"Makuhani na viongozi wengine wa dini hawakutaka kunifahamu."

BWANA yuko wapi?

"Tunahitaji kumtii BWANA"

Wachungaji wametenda dhambi dhidi yangu

"Viongozi wao wamenitenda dhambi"

wachungaji

"viongozi"

na kuvitafuta vitu ambavyo havina faida

"na kuomba kwa miungu ambayo haiwezi kuwasaidia"

kuvitafauta

"kuitii"