sw_tn/jer/02/01.md

413 B

Neno la BWANA lilinijia

Tazama 1:1

nijia

kwa Yeremia

Nenda ukanene katiaka masikio ya Yerusalemu

"Nenda ukawaambie watu wa Yerusalemu"

ujana wako

"kwa ajili ya faida yako" au "kwa utashi wako"

tumechumbiana

"tulipokubaliana kwa mara ya kwanza kuwa tutaoana"

katka nchi ambayo ilikuwa haijapandwa

"nchi ambayo hakuna aliyepanda" au "nchi ambayo chakula hakistawi"

BWANA asema

Tazama 1:7